Vipindi
Daraja
Daraja ni kivukisho. Kipindi hiki kitawapa nafasi yakufikisha ujumbe kutoka kwa mjumbe muhusika katika jamii. Lengo nikufunza, kuelimisha na kuwapa fursa waswahili wote na wengineo chombo chakufikisha yanayojiri katika jamii
Kioo Cha Jamii
Kipindi hiki kinazingatia watu wenye mifano yakuigwa (role models) katika jamii nzima, na kwenye sekta mbali mbali.
Lengo nikuwapa muamko, kufunza na kuhamasisha kizazi cha sasa pamoja nakinachokuja.
​
​
Kids Corner
Watoto ni taifa la baadae, na wanamchango mkubwa katika rika lao.
Kids Corner ina maongozi, maoni, na kuonyesha mafanikio tafauti ya watoto na vijana
Msingi wao ndio nguzo yakujenga jamii ya baadae
Sistaz Zone
Programu hii itaongelewa na wanawake kwa wanawake. Sistars zone ina mada mbali mbali kama, mapishi, ndoa, ulezi, masomo na mengineo kwa ajili ya wanawake ili sauti na maoni yao kusikika
Makala
Pata mskusanyiko ya mada mabali mbali, ambazo zitakazo kuwa na ripoti za usahihi kamili. Kipindi hiki kinaletwa kwenu na watangazaji wetu mashuhuri kutoka Zanzibar, Mwatima Abdalla na Abdul-hamid Mjawiri Mjengo
Meza Ya Hadithi
Kipindi hiki kitabeba uchambuzi mfupi wa Hadithi za kiislamu. Mchambuzi sio mwengine bali ni Sh. Abdulrazaki Issa, kutokea jiji la Dar es salaam. Meza ya hadithi itakua na hadithi 300 ambazo zitakua na mfululizo wa uchambuzi wake.
Matokeo/Habari
Segmenti hii inamkusanyiko wa matokeo mbali mbali, pamoja na habari moto moto kutokeo sehemu tofauti duniani.
Wasiliana nasi
Unit 12, Phoenix House,
Leicester
+447412668131
​
+447565512058
​